Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Ila kuna mtu ambaye kabla sijaiunga alikuwa ananipa hamu ya kusoma jukwaa la mahusiano,naye huyu ni MwanajamiiOne, I love you mumy
 
Kuna nini kinaendelea hapa ??

Mapenzi na Mahusiano! Tuambie nani ''secret admirer'' wako hapa JF?
icon10.gif
 
Mapenzi na Mahusiano! Tuambie nani ''secret admirer'' wako hapa JF?
icon10.gif
Mi huwa najuaga anatakiwa awe wa kike, kama ndivyo, basi unam-admire kwenye issues gani?

mimi kwenye u-off topic na kama ni she, basi ni...................bht
 
Mapenzi na Mahusiano! Tuambie nani ''secret admirer'' wako hapa JF?
icon10.gif
Mkuu ukimya wako katika kumtaja anayekupa kimuwemuwe unanipa shaka, husiogope wa hapa JF hawabemendi mwana, just online, do the nidful basi kaka
 
Mkuu ukimya wako katika kumtaja anayekupa kimuwemuwe unanipa shaka, husiogope wa hapa JF hawabemendi mwana, just online, do the nidful basi kaka

Dah! Nawapenda wote tu!
 
Nampenda nampenda, nani...... Mmm..... mzuri, Nani......Mwenye macho mazuri, Nani..... mwenye miguu mizuri.......Nani....(nanihii...nanihii...)
 
phrase ipi hiyo? Ungeikoti basi, nimepata hamu ya kujiua kweli, sijui hata ya nani?
OLE WAO WAZINZI, WAONGO, WAZUSHI, WADHULUMAJI, NAAM WAASHERATI, WATUKANAJI NA WAFIRAJI HAWATAURITHI UFALME WA MBINGUNI ya anyisile abheli
 
Kwani kuna nyingine zaidi ya hizi?...............tic toc tic toc, au hizi kama za saa! au zile za kungoja majibu, unazijua......kifuani kwa moyo, halafu kama hizo hizo huwa zinakuwaga wakati naniliuuu, presha inapanda........inashuka baaadaeeee!

Yani nimejikuta naandika tu! nafikiri kwa niaba yako

asante B!!! you are the real mseminarist wengine wa kichina tu

Najaribu kukusoma katikati ya mistari, waseminaristi siyo wa kusomwa kijuujuu!

hahaaaaaa!!!!
 
asante B!!! you are the real mseminarist wengine wa kichina tu

Mimi leo nipo ki-counselor zaidi!!! infact tangu jana, sema wewe uligoma kuniambia tatizo lako

hahaaaaaa!!!!
Ngoja watakuibukia sasa hivi!!
mpiga kinanda upooo!! eti we wakichina
 
Ngoja watakuibukia sasa hivi!!
mpiga kinanda upooo!! eti we wakichina

mpiga kinanda ndo kabisa tena nilimshtukia juzi juzi ...uchina wake balaaa karibu na orijino

afu mbona kapotea sana au ile shughuli ya kusimika ma-vica genero hahaaaa
 
hahaaa jana nilipigwa shoti vidoleni........leo fulu kazi hapa!!!!
kwahiyo leo uko fulu mwana? twende kazi bht wangu, nisipokuona wewe mwili unazizima, really am telling you mwaya
 
Back
Top Bottom