Unahisi kumpenda nani hapa JF?

Unahisi kumpenda nani hapa JF?

mpiga kinanda ndo kabisa tena nilimshtukia juzi juzi ...uchina wake balaaa karibu na orijino

afu mbona kapotea sana au ile shughuli ya kusimika ma-vica genero hahaaaa
Natamani kumjua huyu mpiga kinanda maana na mimi mpiga tarumbeta mzuri kweli, we may match
 
OLE WAO WAZINZI, WAONGO, WAZUSHI, WADHULUMAJI, NAAM WAASHERATI, WATUKANAJI NA WAFIRAJI HAWATAURITHI UFALME WA MBINGUNI ya anyisile abheli
Naomba ukirudi online unijibu hapa unamaanisha nini. Sijakuelewa na sintokuelewa kama hutojibu
 
kwahiyo leo uko fulu mwana? twende kazi bht wangu, nisipokuona wewe mwili unazizima, really am telling you mwaya

the feeling is mutual mwaya ICU japo jina huwa linanifanya nijihisi kivingine LOL!!

Natamani kumjua huyu mpiga kinanda maana na mimi mpiga tarumbeta mzuri kweli, we may match

akiingia tu nakwambia .....vuta subira am sure he will be here
yeye kinanda
wewe tarumbeta
Bigirita mashairi
mmh!!!

Wewe mseminarist? duh! ntaanza kukuogopa.

ina maana ni kweli we hukujuaga huyu ni mseminaristi pyuwa??/pure
 
Natamani kumjua huyu mpiga kinanda maana na mimi mpiga tarumbeta mzuri kweli, we may match
Ni wewe ICU?sasa wagonjwa mahututi itakuwaje na matarumbeta? si ndio watazidiwa zaidi? Mie nilidhani unajua sana kuchoma sindano.
 
Ni wewe ICU?sasa wagonjwa mahututi itakuwaje na matarumbeta? si ndio watazidiwa zaidi? Mie nilidhani unajua sana kuchoma sindano.
hahahahhahahah umenichekesha sana my dear Charity, wagonjwa mahututi wanahitaji furaha zaidi Ndugu yangu. LOL!!
 
mpiga kinanda ndo kabisa tena nilimshtukia juzi juzi ...uchina wake balaaa karibu na orijino

afu mbona kapotea sana au ile shughuli ya kusimika ma-vica genero hahaaaa
halafu yeye ndo alikuwa anatandika yale makapeti mekundu pale msimbazi cemtre
hahahaa~
 
halafu yeye ndo alikuwa anatandika yale makapeti mekundu pale msimbazi cemtre
hahahaa~
hahaaa ebwana eeeh!! B wa ukweli kume alikuwa na kzi kweli kweli, sasa yeye kaangukia upande upi wa mogoro road?
 
hahahahhahahah umenichekesha sana my dear Charity, wagonjwa mahututi wanahitaji furaha zaidi Ndugu yangu. LOL!!
mhhhh!?? Hospitali ya wapi hiyo? wagonjwa waliopo ICU wnapopigiwa matarumbeta!!!! Labda psychiatric ward.
Lakini pengine Mungu kakutunuku vipaji lukuki,hatuwezi jua bwana.
 
mhhhh!?? Hospitali ya wapi hiyo? wagonjwa waliopo ICU wnapopigiwa matarumbeta!!!! Labda psychiatric ward.
Lakini pengine Mungu kakutunuku vipaji lukuki,hatuwezi jua bwana.
Nikiiweka wazi hspitali ninayofanyia kazi nitakuwa nimekiuka taratibu za JF na nitastahili ban, ni kweli hiki kipaji cha kutibu kwa tarumbeta ni cha kipekee
 
Edit hii fasta....nikirudi nisiikute kabisa.
hahahaah kumbe na wewe uliachia Upadre katika hatua za mwisho eeh? Kama Dr. Slaa vile au Padre Karugendo au Askofu Milingo wa Zambia. Hahahaha Waseminaristi bana
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
 
Hahahahahahaa,no komenti hapo.wadumisha mila!
na mimi nitakuwa PROMOTA wa hiyo bendi,nabuku nafasi kabisa.
My dear Charity, Upromota haukufai kabisa, utaikosea imani yako mpendwa, manake wale kwa kulalia wasanii wanatisha
 
Edit hii fasta....nikirudi nisiikute kabisa.

umekuwa mbogo ghafla.......

Hahahahahahaa,no komenti hapo.wadumisha mila!
na mimi nitakuwa PROMOTA wa hiyo bendi,nabuku nafasi kabisa.

hamna haja ya bukingi we mbona ni promota tayari.....

Kwenye umeneja naafiki.........lakini kwenye pensili hapo naomba maelezo.

maelezo kayatoa charity pale kwa juu zaidi na mengine hay ahapa chumba cha wagonjwa mahututi

B....au basi ntamalizia baadae kale kawimbo ukikoanzisha jana
nampenda nampenda.............................

hahahaah kumbe na wewe uliachia Upadre katika hatua za mwisho eeh? Kama Dr. Slaa vile au Padre Karugendo au Askofu Milingo wa Zambia. Hahahaha Waseminaristi bana
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif

sema pole pole basi na wewe!!
 
Back
Top Bottom