ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Licha ya historia yake kongwe na mchango wake katika uchumi wa nchi ila bado miundominu yake Ina hali dunia?Unaweza kunieleza sababu ni Nini?
Kwa mfano hata mradi tu wa LNG Lindi hata tu maofisi Yao kujengwa bado je mradi upo?airport ya Lindi na Mtwara haijatanuliwa labda tu bandari ya uvuvi ya kilwa ndo kazi inaendelea..madaraja ya kimbunga hidaya na mafuriko wafadhili word bank..je lini serikali ijenge reli au vyuo vikuu kusini?