ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kwani singida na dodoma hakuna greenKwa sababu wajinga wengi wa kijani na ngome ya kijani iko huko.hawana shaka wapeleke huduma au wasipeleke mazuzu yapo tu watawapa kura
Nilikaa huko muda mrefu. Watoto wanakuzwa bila 'animal protins'. Mama zao wakiwa wajawazito ni mwendo wa ugali + maharage. Hii inapelekea udumavu wa akili utotoni. Matokeo yake hawajitambui vizuri hata pale wanapopendelewa na serikali. Mifano ipo. Nina Ushahidi,hivi karibuni Mikoa ya Kaskazini imekuwa haipati gawio la mapato ya nchi kama Kusini,ila wanajitambua, wanafanya wenyewe na maendeleo yanaonekana sana.Kwa sababu wajinga wengi wa kijani na ngome ya kijani iko huko.hawana shaka wapeleke huduma au wasipeleke mazuzu yapo tu watawapa kura
Kaskazini wapi ambapo hawapati gawio ? Umeenda kuangalia level ya utapiamlo ...Nimeishi mikoa ya kusini kukuta mtu ana udumvu ni nadra ,kwanza 80% ni wanene na wafupi ,halafu ule wausi wao ni wakipekee kama watu wa Mbeya.Nilikaa huko muda mrefu. Watoto wanakuzwa bila 'animal protins'. Mama zao wakiwa wajawazito ni mwendo wa ugali + maharage. Hii inapelekea udumavu wa akili utotoni. Matokeo yake hawajitambui vizuri hata pale wanapopendelewa na serikali. Mifano ipo. Nina Ushahidi,hivi karibuni Mikoa ya Kaskazini imekuwa haipati gawio la mapato ya nchi kama Kusini,ila wanajitambua, wanafanya wenyewe na maendeleo yanaonekana sana.
Movi inaitwa jina gani?Nilikaa huko muda mrefu. Watoto wanakuzwa bila 'animal protins'. Mama zao wakiwa wajawazito ni mwendo wa ugali + maharage. Hii inapelekea udumavu wa akili utotoni. Matokeo yake hawajitambui vizuri hata pale wanapopendelewa na serikali. Mifano ipo. Nina Ushahidi,hivi karibuni Mikoa ya Kaskazini imekuwa haipati gawio la mapato ya nchi kama Kusini,ila wanajitambua, wanafanya wenyewe na maendeleo yanaonekana sana.