Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha [emoji28]Kama unafikiri gatuso ameenda kuamu ugomvi uko rongi. Hapo anamueleza kama vipi mpige kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha [emoji28]Kama unafikiri gatuso ameenda kuamu ugomvi uko rongi. Hapo anamueleza kama vipi mpige kichwa
Hapana chezea gattuso tetesi zinasema Ronaldo anajiandaa kuandika kitabu kuhusu huyu gattuso[emoji3][emoji3]
Juzi niliangalia kidogo baadhi ya mechi za ligi ya Brazil kwa kweli nilikumbuka zile mechi za miaka ishirini iliyopita kwanza spidi ,ufundi,pia niligundua marefa wa Brazil hawana ule Utu wa kirefarii yaani kosa moja kadi nyekundu,hakuna mazungumzo hapa ndio kidogo nilichoka,Lizarazu juzi nilivyomuona mnyama eto's niliumia sana navuta picha miamba ya cameroun vs Ghana eeehe halafu eti AFRICON hakuna mashabiki jamaniii kizazi hiki kimekuwaje?duu masikitiko !!!Mungu rudisha drogba,regorbert song,yekini,babayaro,bila kusahau mwanza ,chikwalakwala,pale zambia ,dunia inakimbia sanaNa hata pia Puyol.
Nakumbuka baada ya ile fainali ya ligi ya mabingwa ambayo man utd alikufa 2-0 dhidi ya barca, Ronaldo alisikika akisema hakuna siku aliyopata shida katika maisha yake ya soka uwanjani kama siku ile na aliyempa hiyo shida ni Carles Puyol
HahahKama unafikiri gatuso ameenda kuamu ugomvi uko rongi. Hapo anamueleza kama vipi mpige kichwa
Juzi niliangalia kidogo baadhi ya mechi za ligi ya Brazil kwa kweli nilikumbuka zile mechi za miaka ishirini iliyopita kwanza spidi ,ufundi,pia niligundua marefa wa Brazil hawana ule Utu wa kirefarii yaani kosa moja kadi nyekundu,hakuna mazungumzo hapa ndio kidogo nilichoka,Lizarazu juzi nilivyomuona mnyama eto's niliumia sana navuta picha miamba ya cameroun vs Ghana eeehe halafu eti AFRICON hakuna mashabiki jamaniii kizazi hiki kimekuwaje?duu masikitiko !!!Mungu rudisha drogba,regorbert song,yekini,babayaro,bila kusahau mwanza ,chikwalakwala,pale zambia ,dunia inakimbia sana
Hii mechi naikumbuka, ghatuso akili zake anazijua mwenyeweUsiku mmoja wa Ulaya ndani ya uwanja wa San siro jijini Milan nchini Italy, mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtanange wa marudiano kati ya Ac Milan Vs Man Utd katika Uefa Champions League.
Man Utd ikiwategemea hasa Ronaldo Na Rooney ili kuiangamiza Milan, ghafla anaibuka muitaliano mmoja na kuiteka show nzima kibabe. Si mwingine ni Genaro Rino Gattuso. Anamuweka Ronaldo mfukoni muda mwingi wa mchezo katika ile style ya Man Marking (Man to Man).
Mechi inaisha Ac Milan wanasonga mbele lakini gumzo kubwa ni wapi alipokuwa Ronaldo kwa dakika 90 za mchezo ule. Ronaldo alipotea na hakika alipaswa kufunguliwa kesi ya UZURURAJI.
Gattuso anamaliza mechi ile huku akivua bukta yake na kuanza kushangilia kwa mbwembwe zote.
Tafadhali usimsahau Jaap StamGennarro Gattuso, Patrick vieira, Claude Makelele, Roy keane, Michael Ballack, Michael Essien..Watu wa aina hii kwenye Soka wanapotea kwa kasi sana. Soka limekuwa rahisi mno.
Usiku mmoja wa Ulaya ndani ya uwanja wa San siro jijini Milan nchini Italy, mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mtanange wa marudiano kati ya Ac Milan Vs Man Utd katika Uefa Champions League.
Man Utd ikiwategemea hasa Ronaldo Na Rooney ili kuiangamiza Milan, ghafla anaibuka muitaliano mmoja na kuiteka show nzima kibabe. Si mwingine ni Genaro Rino Gattuso. Anamuweka Ronaldo mfukoni muda mwingi wa mchezo katika ile style ya Man Marking (Man to Man).
Mechi inaisha Ac Milan wanasonga mbele lakini gumzo kubwa ni wapi alipokuwa Ronaldo kwa dakika 90 za mchezo ule. Ronaldo alipotea na hakika alipaswa kufunguliwa kesi ya UZURURAJI.
Gattuso anamaliza mechi ile huku akivua bukta yake na kuanza kushangilia kwa mbwembwe zote.
Gatuso alimliza Ronaldo hadi kamwingiza Rooney walicho ambulia ni red card wote Rooney na Gattuso
Gattuso alikuwa hatari sana, Apumzike kwa amani!
Kupumzika kwa amani ni mpaka afe? anyways sijui kama kafa au yu hai!Lini kafa
Belamy kwa sasa kocha...ebana noma sana kuna Craig Bellamy huyu mwamba sijui alienda wapi....
Belamy kwa sasa ni kocha..ebana noma sana kuna Craig Bellamy huyu mwamba sijui alienda wapi....