Unahisi nani ni mbabe, unaogopa usiingie kwenye 18 zake

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,715
Reaction score
2,385
Nani mbabe & nani mrembo kwa hawa watu watatu

1. Kalapina


huyu mshikaji anafahamika kwa ukorofi lani nguvu jiwe.. ona video hapo chini alivyo mfanyaga chidbeenz maisha club


Mzee wa kikosi cha mizinga kipindi kileeeeeeeee


2. Dudu baya
huyu mshikaji pia alikuwa mbabe hasa.. nahisi mna kumbuka jinsi alivyo mfaya Nice



3. Ney wa mitego
Sijui skendo za ubabe huyu jamaa, ila jinsi anavyo jiweka kama mbabe vile... labda uko mazese ni mbabe
 
Kumbe Ney wa mitego nae ni mbabe duuuh.
 
Mbabe wao ni S kide mtot9 wa mama shamte.. Mume wa Young killee bwana ake neema wa mitego, Twenty percent wa WCB baba ake mdogo Tiffah..
 
Kuna mmoja umesahau kumuweka mkuu.... Yule ambae lasti wiki alikua mwanza na akamuamuru yule anae taka kumdhulumu yule mama kiwanja ashughulikiwe, na kisha akatowa tamko kuhusu wale waliojenga ndani ya eneo la jeshi wasibomolewe...[emoji34] [emoji34]

Yaani umesahau kumtaja yule ambaye wikiendi alikua shuttle akisikiliza nyimbo za kilugha chao, huku akiwa amekaa chini kwenye tandiko lainiiiiiiii na mama yake pembeni......[emoji47] [emoji47] [emoji47]

Kwahiyo unataka kusema umesahau kumtaja yule jamaa ambaye alitamka hadharani kwamba "leo nimewasamehe" na kisha baada ya pale akaandika barua ya kuwafukuza jobu wale vigogo wawili kule "Basibhota" Iweee" Agandi" Waitu........[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Au unaona kama yeye sio mkorofi?
Yaani anazidiwa ukorofi na hao ulio wataja.... [emoji47] [emoji47] [emoji47]

Kweli ze woldi iz noti fea kabisa
 
Aliesababisha vyuma vikatight vizuri ndo baba lao maana kila mtu kitaa analalama
 
Namuhanya sana USA, Israel na Mrusi hawa uliowaweka hapa warembo tu. Tena warembo wa Dar chips kuku mchina.
 
Mwanaume aliye kamilika hawezi kumuogopa mwanaume mwenzie kwa namna yoyote ile
 
Mimi wanaume wote ni wababe kwangu kwa sbb swezi pigana nao
 
Katika wote hao ney ndio mrembo zaidi.. sihofii kukutana nae hata niwe naumwa malaria 3, hanitishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…