kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Ney ana ubabe gani sasa, mwenyewe ana kithembe
HahahahaKatika wote hao ney ndio mrembo zaidi.. sihofii kukutana nae hata niwe naumwa malaria 3, hanitishi.
Nitamuogopaje...mwanaume mwenzangu....? Wale ndio waoga kama wasinge kuwa waoga wangekuwa wanawafuata watu sura kwa sura wanaanzisha vita bila kificho...Sema ukweli kama huwaogopi wale wanaume wa Nisan patriol nyeupe au wale wanaume wa kibiti..
Kama ww sio muoga weka picha na namba yako ya simuNitamuogopaje...mwanaume mwenzangu....? Wale ndio waoga kama wasinge kuwa waoga wangekuwa wanawafuata watu sura kwa sura wanaanzisha vita bila kificho...
Jina ninalotumia ni langu kupitia hilo unaweza kupata vyote ulivyovitajaKama ww sio muoga weka picha na namba yako ya simu
Usitske kuzunguka weka picha yako hapo kama unajiamini...Jina ninalotumia ni langu kupitia hilo unaweza kupata vyote ulivyovitaja
Sema ukweli kama huwaogopi wale wanaume wa Nisan patriol nyeupe au wale wanaume wa kibiti..
Rebbecca huyo ni wwhahaaa