Unahisi nani ni mbabe, unaogopa usiingie kwenye 18 zake

Unahisi nani ni mbabe, unaogopa usiingie kwenye 18 zake

Sema ukweli kama huwaogopi wale wanaume wa Nisan patriol nyeupe au wale wanaume wa kibiti..
Nitamuogopaje...mwanaume mwenzangu....? Wale ndio waoga kama wasinge kuwa waoga wangekuwa wanawafuata watu sura kwa sura wanaanzisha vita bila kificho...
 
Tatizo mnaamin Sana maneno Yao ila wote warembo hamna chochote
 
Back
Top Bottom