Unahisi nani unamjua kwa sura hapa JF?

Unahisi nani unamjua kwa sura hapa JF?

Ile kesi ya JF ambayo Max anahangaika nayo nadhani inamtaka awataje baadhi ya watu walioandika hbr flani humu.

Thread nyingine mtu unaweza kuzisoma kisha usielewe mtoaji ana lengo gani.!!,?
Am just thinking LOUD
 
Unaweza kuona uzi hapa JF mpaka ukahisi umeandikiwa wewe au huyo aliyeandika utakuwa unamjua, ni nani huyo au uzi gani funguka mwana JF tuburudike hapa, mimi wangu utakuja soon.
Sura za watu wa humu ziko kwenye mind
Alafu kiuhalisia hata huku mtaani sijawahi kukutana na aina ya watu wa jf
 
Back
Top Bottom