Unahisi ni mambo gani ukiachana nayo 2025 unaweza kufikia malengo yako?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi Great Thinkers.

Hii dunia imejaa distractions amabazo sometimes zinaweza kukupotezea malengo y'ako.

Sasa Kwa wale wanaojitafuta na hustlers unazani ni vitu vipi vimekupotezea malengo.yako miaka iliyopita na unahisi.ukiachana navyo unaweza kusonga mbele Zaidí. 2025.na kuendelea.

Baadhi ya vitu ni.
1.Mpira
2.Pombe
3.Marafiki wa hovyo.
4. Ugomvi
5.Misabwanda
6.Kukata Tamaa
7. Kughairi mambo
8.Kuongelea Maisha ya watu wengine.
9.Matumizi.ya hovyo bila bajeti.
10.Kutokuongeza maarifa.
11.Matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii yasiyo na tija.

Haya ongezea na wewe
 
Kufikia malengo gani mkuu?
 
Mdem
 
Mimi nadhani sijakuelewa point yako nini hasa.

Pia hiyo namba sita ni kukata tamara ni kitu gani?
 
My world is limitless .

Mimi nategmea mwaka 2025 kuishi maisha ambayo hayana mipaka ikiwemo mipaka ya dini ,elimu watu n.k

Kusaidia Sana watu
Kusaidia familia yangu Sana

Hivyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…