Unahisi ni mambo gani ukiachana nayo 2025 unaweza kufikia malengo yako?

Unahisi ni mambo gani ukiachana nayo 2025 unaweza kufikia malengo yako?

Kijana acha yafutayo
1.kuamini ushirikina
2.wanawake
3.tamaa
4.kuishi bila malengo
5.marafiki wanafki
 
Kuongeza bajeti yakuwa tembelea WAHITAJI hasa yatima na wajane/// siri kubwa ilio JIFICHA kwenye hili///
 
Back
Top Bottom