Unahisi nini kitakutokea kama ukiendelea kuwa single?

Unahisi nini kitakutokea kama ukiendelea kuwa single?

n ile naweza kuumwa halafu nikakosa msaada sbb nipo singo....
mawazo yangu ni baseless lakini cjui kwnn huwa yananijia sana kihivyo!!
Mimi mwenyewe huwa nawaza hivi si ntafia ndani kwa kukosa japo msaada wa babe😪, and sometimes you have some ideas unatamani hata ungemwambia mpenzi akushauri chochote, pia namiss kubishana kwa hoja hadi kieleweke ila ...
 
Pole.. ila kwanini haya?
 
Kukosa mtu wa kushare nae mawazo. Kuna maradhi uhitaji msaada wa karibu.
 
Hamna kitakachotokea. Mjue kuna muda katika maisha one needs to be single ili kujifanyia self evaluation. Hakuna anaejijua duniani zaidi yako mwenyewe.
Umepita katika relationships kadhaa sasa being single itakusaidia kujua what you want, wapi ulikosea na where you are going. Kuna vitu utavigundua pale ukiwa single ambapo kama ungekua kwenye mahusiano usingevijua.

You will discover yourself na kuweza kujidefine better. Hii pia inakusaidia mahusiano yatakayofata uwe mtu bora zaidi kwa yule mwenza afataye.
Kuwa single sio ulemavu wala kukosa, ila ni kuwa a better person in life.
Let us all embrace being single yoh
#letlovelead#
 
Back
Top Bottom