Unahisi nini kitakutokea kama ukiendelea kuwa single?

Unahisi nini kitakutokea kama ukiendelea kuwa single?

Sasa kitakachotokea baada ya wewe kuwa single muda mrefu utapiga punyeto hadi magoti yaishe nguvu, halafu uumwe kichwa halafu ufe.
Hayo uliyotaja hayahusiani na nyeto kabisa. Acha uchochezi nyeto ni salama kabisa...
 
Mimi mwenyewe huwa nawaza hivi si ntafia ndani kwa kukosa japo msaada wa babe😪, and sometimes you have some ideas unatamani hata ungemwambia mpenzi akushauri chochote, pia namiss kubishana kwa hoja hadi kieleweke ila ...
Wengine wameumwa na babe alikuwa ndani akahama na kila kitu bila hata msaada gaadem.

Just be you usitarajie mtunakupe amani au furaha. Practice kuwa mwenyewe, yani usijilegeze no matter what
 
Wengine wameumwa na babe alikuwa ndani akahama na kila kitu bila hata msaada gaadem.

Just be you usitarajie mtunakupe amani au furaha. Practice kuwa mwenyewe, yani usijilegeze no matter what
Sawa mkuu ila at some point babe muhimu, hata kwa kubadilishana mawazo tu
 
Sawa mkuu ila at some point babe muhimu, hata kwa kubadilishana mawazo tu
It's Obvious. Ila isikuweke desperate, sisi watu wazima tushapita huko unafika wakati unaangalia binadamu walivyo huwezi kuamini na vile tupo kwenye sekta ya kutoa haki unakutana na vitimbwi vingi vya wanandoa kwenye divorce mpaka unabaki kuhisi wewe hauna matatizo heri uenjoy life tu.

Besides I don't know who is going to bury me, maana wengine wanawake hata watoto wanawabadili msimamo.

Just enjoy life and make sure unaishi na kila mtu kwa amani.
 
Back
Top Bottom