Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hakuna aliye mkamilifu hapa chini ya jua! Hivyo binadamu wote tu wadhaifu. Vitabu vya dini vunatuhasa kusamehe saba mara sabini ili mioyo yetu isiwe na kinyongo tena
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kutakiana radhi baina ya member mmoja wa jf na mwingine. Huenda tunakosana katika majibizano ya hapa na pale katika harakati nzima ya kusogeza uzi na kutetea mawazo
Kama uliwahi kumtusi, kumkejeli, kumdhihaki, kumuudhi n.k tumia uwanja huu kusafisha nafsi yako. Na pia kwako wewe utakayetakwa radhi, usibaki na kinyongo, mjibu mwenzio walau kwa maneno matatu.
Uzi tayari...