Unahisi ulimkosea katika majibizano? Tumia uzi huu kumuomba msamaha

Unahisi ulimkosea katika majibizano? Tumia uzi huu kumuomba msamaha

Sisi hatuna baya na hawa warembo wetu maana wanatupatia utelezi [emoji39][emoji39][emoji39]

Akizungumzia suala la idadi ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume mama Samia aliwaambia wanawake wazichukulie changamoto kama fursa. Sijui alimaanisha nini bimkubwa Samia? [emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Samia yule ni mzanzibar, shauri yenu
 
Nasubiri maelekezo kwa Kelsea nifanye kumpasia kiasi hiki kidogo cha pesa kabla sijalewa kikaliwa na wagema wa hii bar ya "Mkwere"
 
Sina hakika kama kuna mtu niliwahi mkwaza ingawa nishatibuana na watu humu ila wao ndio huwa wananianza. Kama kuna ambae niliwahi mkosea bila kujua naomba anisamehe.
 
Sina hakika kama kuna mtu niliwahi mkwaza ingawa nishatibuana na watu humu ila wao ndio huwa wananianza. Kama kuna ambae niliwahi mkosea bila kujua naomba anisamehe.
Mimi nimekusamehe kabisa tena bila kinyongo ingawaje umefanya wanajf waniwekee vikao vya dharura

Nimesamehe, nimekusamehe kipenzi, kipenzi cha mzabzab
 
[emoji15][emoji15]Umemfanya nini binti ya watu? [emoji1787][emoji1787]
Kesi yangu na financial services ilisuluhishwa na mod "x" humu. Sijui kama alini unblock au lah, lakini ilikuwa tifu sio poa [emoji16]
Kesi gani? Tulishawahi kuwa na kesi? Lini? Ilikua inahusu nini? And why? Huyo mod x ni yupi? Alisuluhishia wapi? Unauhakika ni mimi?
 
Ngoma bado nzitoo[emoji23][emoji23] hakuna kupatana ni mwendo wa vitasa tu[emoji23][emoji1787].

Na ugomvi mpya tumeungundua unakuja kwa jina ka NDOIGE[emoji23][emoji23] ugomvi huu unaingilika kila nyuzi kwa kuwakeraaa watoa thread na kuwatoa povu wanaoreply hovyo hovyo[emoji23].

Hakuna kupoa JF ikitulia watu mkapatana basi inakuwa haina maana [emoji23][emoji23] wandugu lazimaa tugombane kweeliii kweeeeliiiii, naandika haya nikiwa na uhakika wa kwenda kukiwasha kule jukwaa lilee[emoji23][emoji23]...

Nauliza mitandao bila kubondana yafaa nini??[emoji23][emoji23]

Msipatane bhana, [emoji23][emoji23]

Ugomvi for everiiii badee
 
Kesi gani? Tulishawahi kuwa na kesi? Lini? Ilikua inahusu nini? And why? Huyo mod x ni yupi? Alusuluhishia wapi? Unauhakika ni mimi?
Ndio financial services [emoji16]
Nimejaribu kuukumbuka uzi nimeshindwa
Kuna yule dada niliyemquote matamshi nikawa nimechanganya r na l, ukawa unanitolea povu kimafumbo nikakuwakia, ukasema umetupa jiwe gizani. Mwisho wa siku ukasema unatafuta mtu akufundishe kublock mtu [emoji28]

Mbona ilitrend sana, na wakina Smart AJ walikuwa wanaweka comments za emoji za kuvunjika mbavu

Nahisi ilikuwa kati ya mwezi May na Aug[emoji16]

Umekumbuka sasa?
 
Ngoma bado nzitoo[emoji23][emoji23] hakuna kupatana ni mwendo wa vitasa tu[emoji23][emoji1787].

Na ugomvi mpya tumeungundua unakuja kwa jina ka NDOIGE[emoji23][emoji23] ugomvi huu unaingilika kila nyuzi kwa kuwakeraaa watoa thread na kuwatoa povu wanaoreply hovyo hovyo[emoji23].

Hakuna kupoa JF ikitulia watu mkapatana basi inakuwa haina maana [emoji23][emoji23] wandugu lazimaa tugombane kweeliii kweeeeliiiii, naandika haya nikiwa na uhakika wa kwenda kukiwasha kule jukwaa lilee[emoji23][emoji23]...

Nauliza mitandao bila kubondana yafaa nini??[emoji23][emoji23]

Msipatane bhana, [emoji23][emoji23]

Ugomvi for everiiii badee
Na kweli[emoji28][emoji28] JamiiForums pasipo tafalani yafaa nini? Sema ni kwa vile majukwaa mengine tuko fair sana, kuna wale watu wa siasa, ni mwendo wa matusi, mabifu na ban kila kukicha

Ni bora Kelsea asikubali kushindwa kurahisi, na moto uwake ili watu tupate shauku ya kuweka bando kupata trends
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sijui kama ataelewa,umemchanganyia balaa
Nishamuelewa, kesi ile ilikuwa inachochewa kwenye uzi inaenda kuzimikia PM, kwa bahati mbaya ikiwakia PM, kwenye uzi panakuwa hapatoshi [emoji28][emoji28] Dada wa watu akaamua kutoa laana kabisa
 
Niliowakosea wote humu naomba kuwaambia......nitaendelea hivyo hivyo yani nitawakosea sana 😁
 
Kuna kipindi niko first year pale Mabibo Hostel, nikanunua mihogo ya buku nikaweka kwenye kimfuko nikachili pale uwanjani, ghafla mpenzi wangu anaenipenda kwa dhati ndipo kufika, nayeye alikuwa first year mwenzangu! Tukaanza kulishana mihogo[emoji28]

Ghafla bin vuu, taxi x ikatinga karibu na sisi na kupiga honi! Mtoto akaniacha pale nilipokuwa na mihogo yangu akaingia ndanj ya gari la sponsor wakaondoka. Tokea hapo nikaamini mchawi pesa

Akawa ananipigia simu, mwenzie sipokei!.Nakumbuka siku moja kaja kukaa karibu na mimi mle Theater One kwenye lecture, akanipitishia kibunda cha Tsh 300k na kuniwekea kwenye kibegi uchwara nilichokuwa nacho! Nilitamani kumpiga denda pale pale[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuelewa vizuri sana
 
Nishamuelewa, kesi ile ilikuwa inachochewa kwenye uzi inaenda kuzimikia PM, kwa bahati mbaya ikiwakia PM, kwenye uzi panakuwa hapatoshi [emoji28][emoji28] Dada wa watu akaamua kutoa laana kabisa
Ha ha ha
 
Ndio financial services [emoji16]
Nimejaribu kuukumbuka uzi nimeshindwa
Kuna yule dada niliyemquote matamshi nikawa nimechanganya r na l, ukawa unanitolea povu kimafumbo nikakuwakia, ukasema umetupa jiwe gizani. Mwisho wa siku ukasema unatafuta mtu akufundishe kublock mtu [emoji28]

Mbona ilitrend sana, na wakina Smart AJ walikuwa wanaweka comments za emoji za kuvunjika mbavu

Nahisi ilikuwa kati ya mwezi May na Aug[emoji16]

Umekumbuka sasa?
Basi wewe ni mwamba yaani uniwakie hadi nihitaji kukublock😬, hongera sana ulishinda hiyo tuzo. Ila huoni kama nilivyokukosoa nimekusaidia now unaandika vizuri? Elimu haina mwisho tunajifunza kila siku hata kama ni mzee.
 
Back
Top Bottom