Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Natumain sjawahHakuna aliye mkamilifu hapa chini ya jua! Hivyo binadamu wote tu wadhaifu. Vitabu vya dini vunatuhasa kusamehe saba mara sabini ili mioyo yetu isiwe na kinyongo tena
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kutakiana radhi baina ya member mmoja wa jf na mwingine. Huenda tunakosana katika majibizano ya hapa na pale katika harakati nzima ya kusogeza uzi na kutetea mawazo
Kama uliwahi kumtusi, kumkejeli, kumdhihaki, kumuudhi n.k tumia uwanja huu kusafisha nafsi yako. Na pia kwako wewe utakayetakwa radhi, usibaki na kinyongo, mjibu mwenzio walau kwa maneno matatu.
Uzi tayari...
[emoji15][emoji15]Umemfanya nini binti ya watu? [emoji1787][emoji1787]Nitumie mwanya huu kumuomba Kelsea anitake radhi! Nimeipenda avatar aliyoweka jioni hii [emoji3059]
Mkuu mzabzab nisaidie kumuelewesha kelsea kuwa maneno yote niliyompasulia zilikuwa ni pombe! Ikibidi aweke hapa account no ya benki nifanye kutransfer akamwagilie moyo jioni hii. Uthibitisho wa ujumbe wa matumo ya pesa ntauweka hapa i.e screenshot
[emoji24][emoji24]Nimekosa mimi, Nimekosa mimi, Nimekosa sana...
Naye atatakiwa kuweka maneno kama hayo hapa ili story za kula mbususu ziendelee[emoji28]
Kwahiyo tusio na bifu na MTU humu tujiite angels
Ndo hivyo mkuu, watu humu wanapasuana hatari, kule MMU kumewaka moto mkuu[emoji1787][emoji1787]Kumbe kuna watu wanachukulia mambo ya humu too serious?
Ha ha haa,hakika mmesamehewaMimi na Mzee wa kupambania tunapenda sana mbususu, hivyo hatuwezi kumkosea mwanamke yeyote hata kama idadi yao imekuwa kubwa kuliko sisi
Tunampenda sana Beesmom To yeye Kelsea na wengine wengi[emoji39][emoji39]
We bhana,kuna jibu ulinipa siku moja lilinikatisha tamaa mazimaKumbe kuna watu wanachukulia mambo ya humu too serious?
π€£ Nitumie kwa M-PesaNitumie mwanya huu kumuomba Kelsea anitake radhi! Nimeipenda avatar aliyoweka jioni hii [emoji3059]
Mkuu mzabzab nisaidie kumuelewesha kelsea kuwa maneno yote niliyompasulia zilikuwa ni pombe! Ikibidi aweke hapa account no ya benki nifanye kutransfer akamwagilie moyo jioni hii. Uthibitisho wa ujumbe wa matumo ya pesa ntauweka hapa i.e screenshot
[emoji24][emoji24]Nimekosa mimi, Nimekosa mimi, Nimekosa sana...
Naye atatakiwa kuweka maneno kama hayo hapa ili story za kula mbususu ziendelee[emoji28]
[emoji15][emoji848]Kumbe pesa inaweza fanya kitu chochote hapa chini ya jua! [emoji1787] Ngojea nitafute pesa[emoji1787] Nitumie kwa M-Pesa
Pesa ni kila kitu π[emoji15][emoji848]Kumbe pesa inaweza fanya kitu chochote hapa chini ya jua! [emoji1787] Ngojea nitafute pesa
Wanannnchiiiiiiiii[emoji441] Tutafute pesa
Kuna kipindi niko first year pale Mabibo Hostel, nikanunua mihogo ya buku nikaweka kwenye kimfuko nikachili pale uwanjani, ghafla mpenzi wangu anaenipenda kwa dhati ndipo kufika, nayeye alikuwa first year mwenzangu! Tukaanza kulishana mihogo[emoji28]Pesa ni kila kitu [emoji23]
[emoji1787] Nitumie kwa M-Pesa
Sisi hatuna baya na hawa warembo wetu maana wanatupatia utelezi πππMimi na Mzee wa kupambania tunapenda sana mbususu, hivyo hatuwezi kumkosea mwanamke yeyote hata kama idadi yao imekuwa kubwa kuliko sisi
Tunampenda sana Beesmom To yeye Kelsea na wengine wengi[emoji39][emoji39]