AKAN JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 991 Reaction score 963 Mar 31, 2022 #41 kuna watu watapigwa hapa 🤣🤣🤣
C cool d JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 1,743 Reaction score 1,751 Mar 31, 2022 #42 Iblis Bin Shetan said: Alshababi Boko haram kila siku wanauwa watu huyo mungu mbona hawapi adhabu yoyote pia unajua maana ya kukufuru Click to expand... Hao wanaoua watu amesema usiue Sasa kama wanaua adhabu yao alishasema auae kwa upanga atauawa pia kwa upanga hivyo hao wakifungwa wanauwa pia.
Iblis Bin Shetan said: Alshababi Boko haram kila siku wanauwa watu huyo mungu mbona hawapi adhabu yoyote pia unajua maana ya kukufuru Click to expand... Hao wanaoua watu amesema usiue Sasa kama wanaua adhabu yao alishasema auae kwa upanga atauawa pia kwa upanga hivyo hao wakifungwa wanauwa pia.
prophet_tz Senior Member Joined Feb 14, 2022 Posts 176 Reaction score 302 Mar 31, 2022 #43 Hayo mema ya MUNGU ungeyaweka hadharani kama YESU alivyo ponya watu hadharani nafkiri wengi tunge nufaika kuliko kuita watu PM .... kwakufanya ivi hatakama ulikuwa na nia njema tayari unawapa watu sababu ya kusema
Hayo mema ya MUNGU ungeyaweka hadharani kama YESU alivyo ponya watu hadharani nafkiri wengi tunge nufaika kuliko kuita watu PM .... kwakufanya ivi hatakama ulikuwa na nia njema tayari unawapa watu sababu ya kusema