Unahisi umekata tamaa kabisa ya maisha? Au unaishi maisha yenye misukosuko mingi? Au hufurahii kabisa maisha yako?

Unahisi umekata tamaa kabisa ya maisha? Au unaishi maisha yenye misukosuko mingi? Au hufurahii kabisa maisha yako?

kuna watu watapigwa hapa 🤣🤣🤣
 
Alshababi Boko haram kila siku wanauwa watu huyo mungu mbona hawapi adhabu yoyote pia unajua maana ya kukufuru
Hao wanaoua watu amesema usiue Sasa kama wanaua adhabu yao alishasema auae kwa upanga atauawa pia kwa upanga hivyo hao wakifungwa wanauwa pia.
 
Hayo mema ya MUNGU ungeyaweka hadharani kama YESU alivyo ponya watu hadharani nafkiri wengi tunge nufaika kuliko kuita watu PM .... kwakufanya ivi hatakama ulikuwa na nia njema tayari unawapa watu sababu ya kusema
 
Back
Top Bottom