Unahisi umekata tamaa kabisa ya maisha? Au unaishi maisha yenye misukosuko mingi? Au hufurahii kabisa maisha yako?

Sasa Masihi ameanza kufanya kazi za kuhubiri kwa kificho? eh! sadaka tunatolea hapa ama PM?
Well, sifa na utukufu tumpe eeehhh Bwana. Yesu Kristo kasulubiwa kwa sababu ya watu kama wewe na mimi. Watu kama wewe na mimi wasingekuwepo Yesu Kristo asingekuja Duniani. Neema ya kufahamu kweli ya Mungu haipo mbali nawe!
 
Aleluya aleluya kumbe unatuibia sadaka[emoji14][emoji14]
Nafahamu kweli ya Mungu kwa neema yake Bwana. Nawe nakuombea neema hio hio na zaidi ikufikie wewe pia, na mwishowe ukiri utukufu wa Bwana kwa kinywa chako mwenyewe. Amen
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hizo replies lazma mtoa mada akimbie ata kma alkua na nia njema
Sionei aibu kweli ya Bwana maana nikifanya hivyo hata mimi Yesu Kristo atanionea aibu mbele ya Baba yake Muumba wa Mbingu na Nchi
 
Mungu ni mbinafsi sana ndio maana kajificha kuogopa lawama maana unaweza ukamuomba asikupe maana yake ni mchoyo kuna mzee mmoja yaan jirani yangu swala 5 lakini daa matatizo aliyokuwa nayo kila siku yanaongezeka kazi kafukuzwa pesa hana maradhi watoto wanataka kusoma sasa huwa najiuliza huko msikitini anakoenda si amuombe huyo mumgu ushauri ukitegemea kuomba msaada kwa kitu usichokiona ni sawa na kusubiria meli katika kituo cha basi mungu hawezi kukusaidia katika maisha angekuwa na uwezo maskini wasingekuwepo au magonjwa yasingekuwepo
Kabla ya kuzaliwa kwako kulikuwa na watu wenye misimamo mikali sana kuhusu uwezo wa Mungu. Lakini mwishowe walikiri utukufu wake na kumpa Mungu sifa zake. Wala usidhani kama wewe una akili kubwa kumzidi huyo unayemuona akimuamudu Mungu hali ni maskini. Njia ya Mungu na namna yake ya utendaji wa ajabu kuwahi kushuhudiwa Ulimwengu. Mungu na aendelee kutawala mioyo na fahamu zetu milele na milele
 
Bro shtuka hizo akili ulizonazo sio zako kabsa ,,,kauli za kukufuru hizi utakuja jutia Mungu hadhihakiwi bwana mdogo shauri yako
Tumuombee kwa Mungu apate neema ya kufahamu kweli ya Mungu. Anaweza akawa ameshiba na kuvimbiwa bila kujua ni huruma zake Bwana zinamrehemu, badala yake akajua yeye ndiye mjanja zaidi
 
Haya Mwamposa,
Inaweza kuwa ni wewe unayesoma hapa, ama inaweza ikawa ni mtu unayemfahamu kama ndugu, jamaa ama rafiki. Vyovyote vile, tusaidie kumfikishia taarifa hii.

Ndugu zangu katika Bwana.
Kama unahisi upo kwenye maisha usiyoyafurahia, au upo kwenye maisha usio na amani nayo, basi wasiliana nami PM ukinielezea kuhusu aina ya misukosuko yanayokukabili hadi kupelekea kukata tamaa.

Zingatia: Nitakachofanya ni kukuelekeza kwenye kweli ya Mungu itakayokutua mizigo yako yote na kuwa huru kufurahia maisha yako mapya katika Mungu.

Karibu sana PM tuzungumze zaidi kwa faragha.
 
Kabla ya kuzaliwa kwako kulikuwa na watu wenye misimamo mikali sana kuhusu uwezo wa Mungu. Lakini mwishowe walikiri utukufu wake na kumpa Mungu sifa zake. Wala usidhani kama wewe una akili kubwa kumzidi huyo unayemuona akimuamudu Mungu hali ni maskini. Njia ya Mungu na namna yake ya utendaji wa ajabu kuwahi kushuhudiwa Ulimwengu. Mungu na aendelee kutawala mioyo na fahamu zetu milele na milele
Sielewi hata hoja yako ipi
 
Inaweza kuwa ni wewe unayesoma hapa, ama inaweza ikawa ni mtu unayemfahamu kama ndugu, jamaa ama rafiki. Vyovyote vile, tusaidie kumfikishia taarifa hii.

Ndugu zangu katika Bwana.
Kama unahisi upo kwenye maisha usiyoyafurahia, au upo kwenye maisha usio na amani nayo, basi wasiliana nami PM ukinielezea kuhusu aina ya misukosuko yanayokukabili hadi kupelekea kukata tamaa.

Zingatia: Nitakachofanya ni kukuelekeza kwenye kweli ya Mungu itakayokutua mizigo yako yote na kuwa huru kufurahia maisha yako mapya katika Mungu.

Karibu sana PM tuzungumze zaidi kwa faragha.
Mwisho wa siku utatoa tu ushauri wa kuokoka...hamna lingine
 
Hata sijui ni kwa nini nimetaka zaidi iwe faragha. Nimejikuta napata amani zaidi nikifanya hili kwa faragha zaidi
kuna mchungaji anaitwa channel pale Kisongo Arusha....ukimwambia unataka au unadai hela mahali na unazungushwa ,anakuuliza sh ngapi ukimtajia anakwambia mtumie kwanza 10% hata kwa simu halafu anafanya mambo yake....ila alishanisaidia kama mara 2 hivi....sasa sijajuia hii tunaitaje?
 
Mungu ni mbinafsi sana ndio maana kajificha kuogopa lawama maana unaweza ukamuomba asikupe maana yake ni mchoyo kuna mzee mmoja yaan jirani yangu swala 5 lakini daa matatizo aliyokuwa nayo kila siku yanaongezeka kazi kafukuzwa pesa hana maradhi watoto wanataka kusoma sasa huwa najiuliza huko msikitini anakoenda si amuombe huyo mumgu ushauri ukitegemea kuomba msaada kwa kitu usichokiona ni sawa na kusubiria meli katika kituo cha basi mungu hawezi kukusaidia katika maisha angekuwa na uwezo maskini wasingekuwepo au magonjwa yasingekuwepo
Mjinga tu wewe.
 
Nilimaliza chuo kikuu mwaka 2006 nikiwa miongoni mwa vijana wenye Hali na shauku kubwa ya kufanya kazi bahati mbaya sikuajiriwa na taaluma niliyosomea ilihitaji niajiriwe.nilikaa mwaka mzima nyumbani nikijitahidi kulima na kufuga lkn sikuwa na mtaji hivyo ikawa ngumu kufanikiwa.Mwaka 2018 nikahama kutokea kwetu mbeya nikahamia Morogoro nikajikita kwny kilimo mwanzoni nilifanikiwa kwny kilimo cha mbogamboga kwa kukusanya visenti hd mtaji wa 2m nikawa nao mfukoni nikaona maisha si ndio haya kwa ushawishi wa rafiki yangu ule mtaji wote nikauwekeza kwny kilimo cha nyanya na nashukuru mmea ukawa vizuri lkn yalikuja mafuriko yakasomba mimea yangu yote hapo ndo ukawa mwanzo wa mimi kuyumba Hadi leo.NILICHOJIFUNZA UKOSEFU WA MITAJI PLUS MAARIFA SAHIHI YA KILIMO NDIO CHANGAMOTO KUBWA KWA VIJANA
 
Subira ni Muhimu sana! Mungu anaweza kukupa unachokiomba Kikakuletea madhara anaangalia muda sahihi wa kukupa ndio anakupa pia Imani ni muhimu Unapomuomba Mungu.
 
Mungu ni mbinafsi sana ndio maana kajificha kuogopa lawama maana unaweza ukamuomba asikupe maana yake ni mchoyo kuna mzee mmoja yaan jirani yangu swala 5 lakini daa matatizo aliyokuwa nayo kila siku yanaongezeka kazi kafukuzwa pesa hana maradhi watoto wanataka kusoma sasa huwa najiuliza huko msikitini anakoenda si amuombe huyo mumgu ushauri ukitegemea kuomba msaada kwa kitu usichokiona ni sawa na kusubiria meli katika kituo cha basi mungu hawezi kukusaidia katika maisha angekuwa na uwezo maskini wasingekuwepo au magonjwa yasingekuwepo
Siyo hivyo kwamba ni mbinafsi ila huyo Mzee Kuna vitu anakosea hasa kufanya kazi yeye Mungu amesema mafanikio yetu yapo kwenye kazi na siyo yeye kushusha vitu kutoka huko alipo ila kazi ndo atakazozibariki Sasa kama anashinda kwenye ibada pekee bila kufanya kazi hapo hatuwezi kumulaumu Mungu, kingine maarifa kama hatumii maarifa hata kupanga familia bado lawama zipo kwake huyo Mzee.
 
Nilimaliza chuo kikuu mwaka 2006 nikiwa miongoni mwa vijana wenye Hali na shauku kubwa ya kufanya kazi bahati mbaya sikuajiriwa na taaluma niliyosomea ilihitaji niajiriwe.nilikaa mwaka mzima nyumbani nikijitahidi kulima na kufuga lkn sikuwa na mtaji hivyo ikawa ngumu kufanikiwa.Mwaka 2018 nikahama kutokea kwetu mbeya nikahamia Morogoro nikajikita kwny kilimo mwanzoni nilifanikiwa kwny kilimo cha mbogamboga kwa kukusanya visenti hd mtaji wa 2m nikawa nao mfukoni nikaona maisha si ndio haya kwa ushawishi wa rafiki yangu ule mtaji wote nikauwekeza kwny kilimo cha nyanya na nashukuru mmea ukawa vizuri lkn yalikuja mafuriko yakasomba mimea yangu yote hapo ndo ukawa mwanzo wa mimi kuyumba Hadi leo.NILICHOJIFUNZA UKOSEFU WA MITAJI PLUS MAARIFA SAHIHI YA KILIMO NDIO CHANGAMOTO KUBWA KWA VIJANA
Na mtu wa kukupa mtaji ni baba yako na si kumlalamikia Mungu, Mali mtu hupewa na babaye labda kama angekupa ukafuja ndo asingebeba lawama hizo za wewe kukosa mtaji.
 
Back
Top Bottom