Unahitaji huduma za kihasibu? Nipo hapa kukusaidia

Unahitaji huduma za kihasibu? Nipo hapa kukusaidia

fradomontz

New Member
Joined
Jul 27, 2025
Posts
3
Reaction score
0
Habari za wakati huu 👋

Mimi ni mtaalamu wa masuala ya kihasibu (Accounting) ninayetoa huduma mbalimbali kwa wafanyabiashara, makampuni na hata individuals.

🔹 Huduma ninazotoa:
✔️ Kutengeneza Financial Statements (Profit & Loss, Balance Sheet, Cash Flow)
✔️ Bookkeeping (Kuweka kumbukumbu sahihi za fedha)
✔️ Kuandaa na kuchambua Cash Flow
✔️ Business Financial Analysis
✔️ Kushauri namna bora ya kusimamia fedha za biashara

🔹 Faida utakazopata:
✅ Utaelewa hali halisi ya biashara yako
✅ Utaongeza faida kwa kufanya maamuzi sahihi
✅ Utakuwa tayari kwa mahitaji ya taasisi kama benki au wawekezaji

📍 Nafanya kazi kwa uaminifu, haraka na kwa gharama nafuu.
 
Back
Top Bottom