Unahitaji huduma za kihasibu? Nipo hapa kukusaidia

fradomontz

New Member
Joined
Jul 27, 2025
Posts
3
Reaction score
0
Habari za wakati huu πŸ‘‹

Mimi ni mtaalamu wa masuala ya kihasibu (Accounting) ninayetoa huduma mbalimbali kwa wafanyabiashara, makampuni na hata individuals.

πŸ”Ή Huduma ninazotoa:
βœ”οΈ Kutengeneza Financial Statements (Profit & Loss, Balance Sheet, Cash Flow)
βœ”οΈ Bookkeeping (Kuweka kumbukumbu sahihi za fedha)
βœ”οΈ Kuandaa na kuchambua Cash Flow
βœ”οΈ Business Financial Analysis
βœ”οΈ Kushauri namna bora ya kusimamia fedha za biashara

πŸ”Ή Faida utakazopata:
βœ… Utaelewa hali halisi ya biashara yako
βœ… Utaongeza faida kwa kufanya maamuzi sahihi
βœ… Utakuwa tayari kwa mahitaji ya taasisi kama benki au wawekezaji

πŸ“ Nafanya kazi kwa uaminifu, haraka na kwa gharama nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…