Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 715
- 1,619
Habari ya asbuhi wakuu, nimerudi tena tuweze kujadili na kukumbushana machache katika utafutaji wetu huku kwenye 'corporates world'.
Kampuni ya udalali na ukusanyaji madeni (auctioneer and debt collection) ni moja kati ya machimbo yaliyopo mjini yanayofanya vizuri japo hayavumi na nimegundua ni kwa sababu wengi hawataki kuwekeza kwenye taarifa sahihi na wale waliopo huko wamekua hawasambazi taarifa sana kama ilivyo katika 'machimbo' mengine ya biashara, lakini pia nimegundua kuwa wadau nao ni waoga kwa kuona kuwa kudeal na mahakama ni kuwa karibu na jela jambo ambalo sio sahihi.
Ili uweze kukidhi kufanya shughuli hii ni lazma uwe na vitu vifuatavyo;
1. Sajili kampuni na hii ni bora zaidi(japo unaweza kufanya hata kwa business name)
2. Fanya complience ya TRA ili kupata TIN na Tax clearance
3. Kibali kutokoka wizara ya Fedha kinaitwa GENERA AUCTIONEER'S LICENSE hii ni LAZMA uwe nayo
4. Leseni ya biashara toka Halmashauri husika ofisi yako ilipo
5. Baada ya hapo kabla hujaanza kufanya kazi ni LAZMA KWA ANGALAU MMOJA WA WAKURUGENZI KUHUDHURIA MAFUNZO NA KUTUNUKIWA CHETI CHA MAFUZO YA UDALALI WA MAHAKAMA(COURT BROKER).
Lakini pia jambo la muhimu ni vema kuchukua na kozi fupi ya Usambazaji nyaraka za mahakama (COURT PROCESS SEVER) Kozi hizo mbili zinatolewa na chuo cha uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto lakini huwa wanazifanya mahali na sehemu tofauti tofauti(seating)baada hapo sasa unakua umevaa mabomu na upo tayari kuingia huku kwenye kwenye hili chimbo.
Faida ya kuchukua qualifications za kusambaza nyaraka ni kuwa HUTAKUFA NJAA maana kwenye udalali huwa hakutokei kazi za mara kwa mara lakini kweye nyaraka gap lipo.
IKIWA UTAHITAJI TUKUSAIDIE KATIKA UPATIKANAJI WA VIBAALI TAJWA HAPO JUU ISIPOKUA HICHO CHETI KINACHOTOLEWA IJA karibu sana tufanye kazi ndani ya wiki moja tutakamilisha. Tunahusika na usajili wa biashara na masuala ya kodi, ofisi yetu ipo Ilala Boma jengo la mwalimu House jirani na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
0755963775 calls/WhatsApp