Unahitaji Kudownload File Kubwa? Karibu Nikuhudumie!

Unahitaji Kudownload File Kubwa? Karibu Nikuhudumie!

Fibonacci

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
377
Reaction score
205
Je, unahitaji huduma ya kudownload ya kuaminika na haraka?

Niko hapa kukusaidia! Nitashughulikia maombi yako binafsi na kukudownloadia faili unalohitaji kwa bei nafuu kabisa, kisha nitaweka kwenye flash drive au external drive yako. Haijalishi ni file dogo au kubwa, tunatoa huduma za kudownload movies, series, games, software, tutorials, na mengineyo.

Bei zetu ni kama ifuatavyo:
  • 10 GB: 6,000 TZS
  • 20 GB: 10,000 TZS
  • 30 GB: 14,000 TZS
  • 40 GB: 18,000 TZS
  • 50 GB: 22,000 TZS
Wasiliana nasi sasa: WhatsApp/Telegram 0615 044 338
 
Sio mteja ila ushauri tu bei zako sio competitive, Bando nyingi za SME za MB tu zinataka ku range hapo.
 
Mbona hizo ndo bei za bando?
 
Hii ni hadi sisi wa nanjilinji ndani ndani au ni watu wa daslam tu?
 
Ni biashara nzuri ukiwa na unlimited internet ambayo unakamua hata GB 1000 kwa mwezi bila mawazo
 
Back
Top Bottom