Unahitaji kununua gari yenye viwango bora na bei inayoeleweka?

Unahitaji kununua gari yenye viwango bora na bei inayoeleweka?

kingjohn255

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
400
Reaction score
513
JOEX MOTORS TANZANIA LTD, ni kampuni tanzu kutoka Joex Holding Group, sisi ni waagizaji wa magari yaliyotumika kutoka Japan na Europe, tunaagiza, na kuuza magari yenye auction grade ya kuanzia 4.0 na kuendelea mbele

Kwetu kabla ya kumuagizia mteja gari, tutamshauri, tutamsaidia kumfanyia mahesabu yake kwa uwazi na kumfafanulia kila aina ya kodi anayopaswa kulipa kwa uwazi mpana kabisa, kama unahitaji gari ya ndoto yako basi usisite kutufikia ofsni kwetu kwa ajili ya ushauri au kuwasiliana nasi kwa ajili ya ushauri na kuagiziwa gari

Tunapatikana Dar es salaam, Jengo la Dora Tower, gorofa ya pili, barabara ya New Bagamoyo, Mwenge Bamaga. SIMU NO 0719 263 074 Una swali lolote kuhusiana na gari basi usisite kutupigia na ushauri kwetu ni bure kabisa
 
1719299075796.png



Rush aina hii inaweza kuwa bei gani ya say 10 yrs back
 
weka bei ya dualis ya 2007 na X1 ya 2008
Touareg ya 2008.
Subaru XV 2013
Ndio maana nikaweka number hapo boss ukiitaji bei nitext normal au whatsapp nitakutumia bei zote, kumbuka bei ya gari na gari hutofautiana kulingana na Grade, mwaka na mileage
 
Back
Top Bottom