Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.
Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.
Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.