Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

Isingekuwa ukaidi wake wa Covid ningesema uchawi upo.

Vinginevyo kwa upande wangu (sio lazima tukubaliane)

Binafsi naamini fujo alizokua anafanya Lissu kipindi serikali inafanya fujo kwa ACCACIA kwa kiłę kihere here (ningekuwa mimi nina mamlaka ningetoa baraka za hit).

Vile vile kwa Magufuli uwezi zuia watu kupata chanjo za dawa kisa imani żako za maombi ambazo hazina medical justification na virus yenyewe inauwa.

Hata kama nilikuwa namkubali vipi Magufuli maamuzi yake lazima yawe mipaka. You can’t play god kwenye maisha ya wengine (ningekuwa mimi kipindi hiko, ningeamuru pia apewe dawa yake ya usingizi japo kwa majonzi).

Kazi ya kuendesha nchi haitaki emotions, bali facts; it’s never personal.
 
Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.

Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.

Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.
Wewe ni mjinga wa kiwango sha SGR kuwa mpk leo hujui kwamba lile shetani lenu la Chato kilipanga kufia madarakani!!
 
Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.

Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.

Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.
Kwanini alilazimisha bunge la vilaza watupu wa ccm Kwa mtutu wa bunduki? Si Ili wabadilishe katiba atawale milele? Lilipangwa likae mwezi wa pili 2022 libadilishe kijitabu awe wa milele!
 
Wote waliosimami ile agenda hawako kwenye hali zao za zamani:-
Magufuli- Kifo
Ndugai- Siyo Spika tena
Kessy- Siyo mbunge tena
Nkamia - Siyo mbunge tena.

Ukikufuru Mungu hakopeshi, adhabu mara moja
Hapo umenena Afande Mwasifiga,Tena ungemuongezea na huyo wa kwenye Avatar yako,naye Sasa hivi yupo uraiani sio Askari tena
 
Back
Top Bottom