Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Muache ujinga wenuKwahiyo?
Unahangaisha marehemu kwa nini sasa? Hebu tuwe na heshima kwa Marehemu tuwaache wapumzike!Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.
Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.
Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.
Membe nae alishiriki?Wote waliosimami ile agenda hawako kwenye hali zao za zamani:-
Magufuli- Kifo
Ndugai- Siyo Spika tena
Kessy- Siyo mbunge tena
Nkamia - Siyo mbunge tena.
Ukikufuru Mungu hakopeshi, adhabu mara moja
Ukikufuru Mungu hakopeshi, adhabu mara moja
Hata huyo mbowe wenu ikifika muda wake atakufa tuuWote waliosimami ile agenda hawako kwenye hali zao za zamani:-
Magufuli- Kifo
Ndugai- Siyo Spika tena
Kessy- Siyo mbunge tena
Nkamia - Siyo mbunge tena.
Ukikufuru Mungu hakopeshi, adhabu mara moja
KaaahKuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.
Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.
Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.
Futa namba 1 tafadhali. Huyo alikuwa ni shetani kwenye mwili wa binadamu.Marais Bora Tanzania
1. JPM
2. JK NYERERE
Ben MkapaMarais Bora Tanzania
1. JPM
2. JK NYERERE
We hawa.ra wa mwendazake hujui mwisho wa eda? Nini kinakushinda kuendelea na maisha yako mapya? Kila siku kutuchosha na thread ya watu ambao their roles are over in this world. Legacy ishakufaga kifo cha mende au unataka kuona nini ili ukubali ya kwamba hakuna cha legacy wala nini?!,😡😡😡Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.
Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.
Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.
Kweli kabisa mkuu.Marais Bora Tanzania
1. JPM
2. JK NYERERE
Mxiuuuuu!!!Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka