Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Ni MPUMBAVU tu ndiye atasema hivyoFuta namba 1 tafadhali. Huyonalikuwa ni shetani kwenye mwili wa binadamu.
Hata kama umezaliwa mwaka 2000 nenda kasome historia
#%@%##*&&@Kuna deep propaganda hiyo ikipewa nguvu na kusimamiwa hata asiye amini ataamini na kuliongelea kwa povu la mdomo.
Hicho nsicho kikifanyika ili kuhadaa watanzania.
Wewe ni mjinga wa kiwango sha SGR kuwa mpk leo hujui kwamba lile shetani lenu la Chato kilipanga kufia madarakani!!Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.
Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.
Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.
Na mpumbavu mwenyewe ni Babu KijiweNi MPUMBAVU tu ndiye atasema hivyo
Kwanini alilazimisha bunge la vilaza watupu wa ccm Kwa mtutu wa bunduki? Si Ili wabadilishe katiba atawale milele? Lilipangwa likae mwezi wa pili 2022 libadilishe kijitabu awe wa milele!Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.
Uzuri wa propanga hii imepuuzwa na wananchi kwa sababu inahitajika uwe kilaza mno pengine kupita kiwango cha treni ya kisasa ya umeme SGR.
Inajulikana wazi Magufuli alikuwa muumini wa kufuata sheria na kutii mamlaka hivyo asingeweza kabisa kufikiria kufanya hii propanda ya kipuuzi inauoenezwa na makanjanja ya Chadema yaliyoishiwa sera.
Ulitaka niandike yanayokufurahisha wewe na m/kiti wako.#%@%##*&&@
Hapo umenena Afande Mwasifiga,Tena ungemuongezea na huyo wa kwenye Avatar yako,naye Sasa hivi yupo uraiani sio Askari tenaWote waliosimami ile agenda hawako kwenye hali zao za zamani:-
Magufuli- Kifo
Ndugai- Siyo Spika tena
Kessy- Siyo mbunge tena
Nkamia - Siyo mbunge tena.
Ukikufuru Mungu hakopeshi, adhabu mara moja
Ulitaka afanye kazi mpaka lini kama umri umetimia?Hapo umenena Afande Mwasifiga,Tena ungemuongezea na huyo wa kwenye Avatar yako,naye Sasa hivi yupo uraiani sio Askari tena
Umri umetimia wapi wewe,kijeba tuUlitaka afanye kazi mpaka lini kama umri umetimia?