Unahitaji mafunzo ya kompyuta ngazi ya kimataifa?

Unahitaji mafunzo ya kompyuta ngazi ya kimataifa?

SERGIO

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
348
Reaction score
145
Kwa mara ya kwanza Watanzania watakuwa na fursa ya kupata mafunzo ya kompyuta katika ngazi ya kimataifa, International Computer Driving Licence (ICDL) certification, yatakayoendeshwa na Kituo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo na Ufafiti cha MK Centre kilichopo Dar es Salaam kuanzia Mei 6.
ICDL inatambuliwa kimataifa kama sifa ya juu kabisa ya mafunzo ya kompyuta ambayo humuwezesha mhitimu kuthaminiwa katika sehemu yake ya kazi kama mtaalamu mwenye ujuzi na ufanisi unaokidhi viwango muhimu vya matumizi ya kompyuta.
Iwapo kuna mwana-JF au jamaa yake angependa kupata mafunzo haya ya muda mfupi apige simu zifuatazo kujiandikisha kwani nafasi zilizobaki ni chache: 071770960, 0753369018, 0757222880, 07148554572 au 0754053921. Kwa maelezo zaidi nenda MK Centre Mbezi Malamba Mawili au andika kwa
Barua pepe: info@mkcentre.org
Fomu zinapatikana chuoni na kwenye tovuti: www.mkcentre.org
 
Back
Top Bottom