»Set ya matano kama inavyoonekana hapo ni Tsh.145,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 2.
»Set ya matano kama inavyoonekana hapo ni Tsh.125,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 1.5.
Au
»Set ya matatu (mawili mazito pamoja, moja jepesi) ni Tsh.85,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 2.
»Set ya matatu (mawili mazito pamoja, moja jepesi) ni Tsh.75,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 1.5.
Au kwa bei ya pazia mojamoja⬇️
»Tsh. 30,000 kwa pazia moja lenye upana mita 2.
»Tsh. 25,000 kwa pazia lenye upana mita 1.5.
Bei ya lace pekee (hilo jepesi la nyuma)⬇️
»Tsh.25,000 kwa lace yenye upana mita 2.
»Tsh.35,000 kwa lenye upana mita 3.
(Urefu wa mapazia kutoka juu, chini ni mita 2.8)