Unahitaji mapazia ya nyumba yako? Pitia uzi huu

Mapazia ya Office na Kitchen | Vernation Blind yanapatikana📌
Price: Tsh.60,000/= kwa square mita moja.


Rangi zilizopo: White, Cream, Blue, Grey dark, Grey light.
 
Mapazia,
Two pieces kwa Tsh.30,000/=
(Upana 1.5m kila moja)
 

Attachments

  • 20230119_141501.jpg
    1.7 MB · Views: 15
  • 20230119_141053.jpg
    2.6 MB · Views: 13
  • 20230119_141409.jpg
    1.8 MB · Views: 13
  • 20230119_141306.jpg
    1.7 MB · Views: 15
  • 20230119_141335.jpg
    1.9 MB · Views: 13
  • 20230119_141121.jpg
    2.2 MB · Views: 12
  • 20230119_141151.jpg
    2.1 MB · Views: 10
  • 20230119_141215.jpg
    2 MB · Views: 10
  • 20230119_141242.jpg
    1.7 MB · Views: 12
JANA ILIKUWA SIKU POW SANA BAADA YA BOSS WANGU MMOJA KUNIPA KAZI YA KUMPENDEZESHEA NYUMBA YAKE KWA MAPAZIA ALIYOYACHAGUA,




Mapazia baada ya kushonwa.


Picha ya juu imeonesha mapazia baada ya kumaliza kushonwa. Na sasa picha za chini ni baada ya kufikisha mzigo na kufanya installation kabisa.


Shukrani za dhati kwako mkuu kwa support yako✊
 
SHUKRAN ZA DHATI KWA WALE MNAOENDELEA KUNIAMINI NA KUNIPA NYUMBA ZENU NIZINYOOSHE,NA KWA AMA HAKIKA KAZI ZINAONEKANA ASEE🔥🔥🔥🔥🔥⬇️
feedback ya baada ya kazi.

AHSANTE SANA BOSS WANGU, KARIBU TENA.
 
Njoo WhatsApp Chap, Mzigo mpya huu
 
30,000/= kwa pieces mbili.
Upana 1.5m kila moja.
Njoo WhatsApp 0685269533
 

Attachments

  • IMG-20230216-WA0039.jpg
    107.5 KB · Views: 8
  • IMG-20230216-WA0038.jpg
    132.5 KB · Views: 7
  • IMG-20230216-WA0040.jpg
    123.8 KB · Views: 7
  • IMG-20230212-WA0019.jpg
    115.8 KB · Views: 7
  • IMG-20230216-WA0035.jpg
    114.3 KB · Views: 8
  • IMG-20230216-WA0037.jpg
    156.1 KB · Views: 6
New comer, Special mode!!!
Bei kitonga
 
MAPAZIA' SET | 3PCS SET | AVAILABLE✅
{ Mawili mazito,Moja jepesi }
»Upana mita 1.5 kila moja kwa hayo mazito, Hilo jepesi (lace) lina upana mita 3.

»Tsh.55,000/= tu kwa kila
 
Material: Linen
Status: Available✅
Blackout | 2 layers inayozifanya zisipitishe mwanga kabisa❌

Unahitaji mapazia high quality kwaajili ya ndani kwako ?

Okay suluhu hii hapa,

»Set ya (3pcs) mita mbili unaipata kwa Tsh.87,000/=
»Set ya (3pcs) mita moja na nusu unaipata kwa Tsh.77,000/=
 

Attachments

  • IMG-20230223-WA0008.jpg
    214.2 KB · Views: 8
  • IMG-20230223-WA0009.jpg
    158.5 KB · Views: 8
  • IMG-20230223-WA0007.jpg
    108.1 KB · Views: 9
  • IMG-20230223-WA0012.jpg
    167.6 KB · Views: 8
  • IMG-20230223-WA0013.jpg
    193.2 KB · Views: 7
  • IMG-20230223-WA0002.jpg
    107.4 KB · Views: 6
  • IMG-20230223-WA0010.jpg
    130.5 KB · Views: 6
  • IMG-20230223-WA0011.jpg
    161 KB · Views: 6
  • IMG-20230223-WA0016.jpg
    139.3 KB · Views: 7
  • IMG-20230223-WA0005.jpg
    167.3 KB · Views: 5
  • IMG-20230223-WA0017.jpg
    135 KB · Views: 5
  • IMG-20230223-WA0006.jpg
    103.8 KB · Views: 3
  • IMG-20230223-WA0014.jpg
    157.5 KB · Views: 3
  • IMG-20230223-WA0003.jpg
    139.9 KB · Views: 2
  • IMG-20230223-WA0015.jpg
    162 KB · Views: 2
  • IMG-20230223-WA0004.jpg
    70.3 KB · Views: 3
  • IMG-20230223-WA0018.jpg
    244.9 KB · Views: 3
SATEEN MATERIALS⬇️

»Limoja lenye upana mita 1.5 ni tsh.22,000/=
»Limoja lenye upana mita 2 ni tsh.27,000/=


»Set ya matatu ya mita 1.5 ni tsh.70,000/=
»Set ya matatu ya mita 2 ni tsh.80,000.


Delivery service ipo kwa wateja Wa Dar es Salaam na wale wa Nje ya Dar natuma pia kwa uaminifu so, Ukihitaji huduma nicheki WhatsApp 0685269533.


Utaratibu wa malipo;-
*Wateja wa ndani ya dar malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
*WAteja wa nje DAr malipo ni kabla... na itahusisha na gharama za usafiri pia.


Check me inbox📥, Lets bargain...
 
»Set ya matano kama inavyoonekana hapo ni Tsh.145,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 2.
»Set ya matano kama inavyoonekana hapo ni Tsh.125,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 1.5.

Au

»Set ya matatu (mawili mazito pamoja, moja jepesi) ni Tsh.85,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 2.
»Set ya matatu (mawili mazito pamoja, moja jepesi) ni Tsh.75,000 ikiwa ni set za mapazia yenye upana mita 1.5.

Au kwa bei ya pazia mojamoja⬇️
»Tsh. 30,000 kwa pazia moja lenye upana mita 2.
»Tsh. 25,000 kwa pazia lenye upana mita 1.5.

Bei ya lace pekee (hilo jepesi la nyuma)⬇️
»Tsh.25,000 kwa lace yenye upana mita 2.
»Tsh.35,000 kwa lenye upana mita 3.

(Urefu wa mapazia kutoka juu, chini ni mita 2.8)
 
TUPO SITE🔥🔥🔥🔥
Your browser is not able to display this video.
 
Dont miss these 🤩🤩
•Jipatie mapazia bora ya kisasa kutoka kwangu, Upendezeshe nyumba yako kwa gharama nafuu msimu huu wa sikukuu ya pasaka.


»Set ya mita moja na nusu kwa Tsh.70,000/= tu
»Set ya mita mbili kwa Tsh.80,000/= tu


Pia kwa wale ambao hamtohitaji set yaani umaweza ukahitaji mazito pekee bila lace, inawezekana pia... Njoo inbox tuongee.
 
WE GOT NEW ARRIVALS ⬇️
 
Tuanze na bei ya pazia mojamoja⬇️

»Lenye upana mita 1.5 ni Tsh.27,000/=
»Lenye upana mita 2 ni Tsh.32,000/=
»Hilo jepesi (lace) mita 2 ni Tsh.25,000/=


Hivyo basi ikiwa utahitaji set either iwe ya matatu, matano n.k unaweza kupiga hesabu kupitia hizo bei za pazia mojamoja hapo juu ndipo utaamua uchukue set ya mangapi na ya upana upi.


Ila kwa haraka sana labda nikutajie bei ya set za matatu ambapo ndo zinazoonekana hapo kwenye picha.

»Set ya matatu ya mita 1.5 ni Tsh.77,000/=
»Set ya matatu ya mita 2 ni Tsh.87,000/=


Karibu inbox kwa maongezi zaidi....

Samples⬇️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…