KITCHEN, Home
RACKS, AVAILABLE✅
✵Zipo katika Rangi mbili (Black na White) na pia zipo kwenye sizes mbili (4 layers na 5 layers)
•4 layers unapata kwa Tsh.60,000/=
•5 layers unaipata kwa Tsh.65,000/=
Though kwenye clip ya kuonesha how to install hapo juu wametumia ya 3layers ila hiyo size hamna kwa sasa zipo hizo size mbili nilizozitaja hapo juu.
Zipo imara na uwezo wa kubeba Kg10.
Ni Racks nzuri sana kwaajili ya kuifadhia vitu mbalimbali vya matumizi ya jikoni na pia sio tu jikoni maana waweza kuhifadhia chochote pia utakachoona kinafaa.
Kwa chini zina Matairi ya kuiwezesha kumove kirahisi ambapo matairi hayo pia yana Brakes pia iwapo utahitaji kulock isi-move.
Pia hivyo vitenga vyake vinatoka na kurudishika kwa wepesi iwapo utahitaji maybe kukifanyia usafi n.k.
Picha za juu hapo zimeonesha Rack hii ikiwa sehemu tofauti kuonesha kwamba popote haikatai haikatox😁
Kumbuka zipo rangi mbili (Black and White) So kama hutohitaji hii nyeusi basi waweza kuchukua nyeupe ukaendelea kuongeza mng'ao ndani😉
Ukihitaji nicheki WhatsApp 0685269533