Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
- Thread starter
- #301
Tukiwa na Jumapili yetu hii safi kabisa, Nakujuza tu kwamba hiyo ndo list yetu ya mashuka tuliyokuwa nayo store kwa sasa, Kwahiyo fanya kama unafanya machaguzi yako hapo ndipo unicheki inbox uniambie unahitaji samples zipi nikutumie uchague rangi uitakayo.