mama lubango
Member
- Aug 16, 2011
- 56
- 8
Duh. Unatafuta mchumba
with target ya 2 yrs ndoa.
Ukiishi hivyo aisee utajikuta unakuwa very desperate maishani mwako.
Hebu soma utafute kazi bwana, wanaume watajipanga kutaka kukuoa.
Mi naona kama target ya mama lubango ya miaka miwili ni nzuri ili wapate muda wa kutosha wa kujuana na huyo atakae mpata than kujuana kwa mwezi tu then ndoa inafuata
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.
Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.

huna wema oote, we ni mubaguzi wa ukabila na udini
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.
Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.
Mimi Mpare elimu sina ila namiliki chuo binafsi cha ualimu na shule kadhaa za sekondari na nikikuoa najua utanisaidia sana kusimamia hizi shughuli je nitakufaa? Ila shahada sina ni form four.Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.
Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.
Tangazo lako lina ukabila, udini, na ueneo..... Hebu mfikirie mtu ambaye ni Mromani, anatoka Ukerewe na si msukuma...Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.
Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.
Hivi we unataka mke au meneja wa shule zako..??Mimi Mpare elimu sina ila namiliki chuo binafsi cha ualimu na shule kadhaa za sekondari na nikikuoa najua utanisaidia sana kusimamia hizi shughuli je nitakufaa? Ila shahada sina ni form four.
nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.
Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya mara au ukerewe.