Unahitaji mke mwema? huyu hapa

Unahitaji mke mwema? huyu hapa

Why not!! Mara and Ukerewe!!!usidhani hatumo!! Tumo wengi tunakuangalia tu!! Hutaki wajita!wewe! Aiii

mwenzio yupo kimaslahi zaidi,,sasa watu wa uko Mara wabahili sana kwa mademu hela hawatoi alafu kwenye kupiga mzigo wakali sana hadi makofi wanalusha sasa awatake nani ...umuhoni anataka msukuma,msukuma ukimchuna ndio kwanza anafurahi,wala usidhani unamkomesha ,umeona bwana!! ..
 
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.

Hapo kwenye red... lazima kwanza nithibitishe hilo maana wote huwa wanasema hivyo hivyo kumbe vibaka!!
 
Haya wewe tutenge tu. ukikabwa na mwiba wa samaki usimtafute mkerewe wala mtu wa mara kukukwabua.
 
Duh. Unatafuta mchumba with target ya 2 yrs ndoa.
Ukiishi hivyo aisee utajikuta unakuwa very desperate maishani mwako. Hebu soma utafute kazi bwana, wanaume watajipanga kutaka kukuoa.

Hahahahah! Unadhani nitamwacha Preta wangu, maisha ni kujipanga, the earlier the better, huko kazini asije akagongwa na office care taker! Halafu si unajua ualimu tena, shule za kata zipo mpaka huko Ukerewe, wizara yao haijali, inaweza ikawa kwenu Ngingama halafu ukapangiwa kazi Matongo, unaicheki hiyo? Anajua Jf kuna washua wengi wa Dar, A-town au hata mji kasoro bahari, akipata cheti cha ndoa yaweza kuwa ahueni kwake!

Halafu, hiyo miaka miwili aliyotaja si bure, ni timing tu, anajua anamwaka 1 wa kumalizia chuo, mwaka 1 wa kusikilizia amepangwa wapi wapi, na hapo sasa ndo muda wa kulazimisha ndoa kama atakuwa amepangiwa madongo kuinana, ila kama amepangiwa mjini, huyo kidume lazima atoswe!

Hahahahah! Ni mtazamo tu!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh.... Wakerewe huwataki?

Nina kaka yangu Mkerewe nilitaka nimuunganishe kwako..! Haya bibie, kila la heri..!
 
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.

mama lubango, mada ni nzuri ila fanya haya;
1.tanzania hatuna ubaguzi wa kabila na udini. kumkataa mtu kwa kigezo cha imani yake ni kosa kubwa sana na unaweza ukamkosa
2.maelezo yako bado yana mapungufu esp kwenye details zako kama ulisema hutaki watu wa mara,ww ni wa mkoa gani?
3.kuna mahali nimevutika sana inabidi tuwasiliane
 
We ushanitoa kwenye interview kwa kuchagua makabila na madhehebu
 
Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu.
Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali.

Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji wa mikoa ya Mara au Ukerewe.
I love sukuma, haya chagga or nyiramba men.
Pia awe mrefu elimu yake isiwe chini ya shahada.
Ni Lubango wa Baobab?
 
Back
Top Bottom