Unahitaji Mwamba kweli kweli kusimamia utekelezaji wa Dira 2050

Unahitaji Mwamba kweli kweli kusimamia utekelezaji wa Dira 2050

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Bila shaka mwamba amepatikana Yaani Mwigulu Nchemba.

Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya maendeleo.

Ni vyema kumpata Mwamba huyu wa Kanda ya Kati, aliyesoma kaskazini na mjini pia

Hongera Mwigulu Lameck Nchemba na Mungu akutangulie
 
Huyu ni Mwamba kwelikweliiiiiii au Waweza kumwita Mr Clean. Kazi inakwenda kupigwa usiku na mchana bila kupumzika.
 
Dira iliyoandaliwa na mafuru , hakuna kitu pale .itakuja Dira ya ukweli sio hii ya kuwalinda millennium
 
Bila shaka mwamba amepatikana Yaani Mwigulu Nchemba.

Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya maendeleo.

Ni vyema kumpata Mwamba huyu wa Kanda ya Kati ,aloyesoma kaskazini na mjini pia.

Hongera Mwigulu Lameck Nchemba na Mungu akutangulie
Mwasisi wa wasiojulikana
 
Labda dira unayoongelea ni ya kuua watu jinga lao.
20251112_021927.jpg
20251106_132648.jpg
 
Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya maendeleo.
Yaani ujinga mfanye nyie lawama muwape wengine? Mwigulu is a failure kwenye wizara ya uchumi so we don't expect anything. Kama unabisha taja sababu kwanini deni linapanda kiasi hiko wakati output ya kiuchumi hatuoni ikizaa ajira wala mapato!!
 
Back
Top Bottom