Mwasisi wa wasiojulikanaBila shaka mwamba amepatikana Yaani Mwigulu Nchemba.
Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya maendeleo.
Ni vyema kumpata Mwamba huyu wa Kanda ya Kati ,aloyesoma kaskazini na mjini pia.
Hongera Mwigulu Lameck Nchemba na Mungu akutangulie
Maendeleo kwa kwenda mbeleNi lazima kazi iendelee
Yaani ujinga mfanye nyie lawama muwape wengine? Mwigulu is a failure kwenye wizara ya uchumi so we don't expect anything. Kama unabisha taja sababu kwanini deni linapanda kiasi hiko wakati output ya kiuchumi hatuoni ikizaa ajira wala mapato!!Tanzania ya leo inakabiliwa na Changamoto ya baadhi ya vibaraka wanaowezeshwa na mitandao ya nje ya nchi kutuondoa kwenye shabaha ya maendeleo.
Mnamkosea sana mama!!