1. Two Stands rail net
View attachment 2282646
Hii ni net👆 nzuri sana na classic sana, Kimuonekano ni kama inavyoonekana hapo juu, Zipo katika rangi 4 (Pink, Purple, Cream & White) Gharama yake ni sh.150,000
2. Two stand adjustable net
View attachment 2282650
Kimuonekana imefanana na ya reli lakini ni tofauti, hii vyuma vyake unafanya kuvivuta au kuvisukuma, Mfano wakati wa matumizi unavuta vyuma hadi vilingane na usawa wa kitanda na baada ya matumizi unavirudisha nyuma hadi kuwa hivi👇
View attachment 2282655 Gharama yake ni sh.150,000/=
3. Tent Square net
Hii ni net nzuri sana Kimuonekano pia na ubora maana vyuma vyake ni vyuma vinavyoiwezesha kukunjika bila kuvunjika. Gharama yake ni sh.80,000/=
4. Frame net
Hizi zipo kwenye Grades mbili A na B, A ni sh.40,000 na B ni sh.65,000 utofauti ni kutokana na ubora wa vyuma vya pembeni, A vyuma vyake ni vyembamba, B ni vinene ambayo vinaifanya kuwa bora zaidi.
5. Round dome net
Hii ni net ya round kawaida ila ni kubwa kiasi cha kuifanya iwe net pendwa sana, Sh.40,000 kwa sh.60,000 utofauti ni ukubwa na uzito.
6. Tent net
Hii ni net nzuri pia na simple kimatumizi unaweza ukawa unaitumia muda wa matumizi na baada ukaikunja na kuirusisha kwenye package yake, Gharama yake ni sh.28,000 tu.