Let me introduce this to you bosses, Hii ni new arrivals kabisa, Ni neti ya Ukutani, Ipo classic sana then bei yake pia ni ya kawaida kabisa na haibagui size ya kitanda... Kizuri pia ni ya Kuadjust so, waweza kuikuza vyuma vya juu wakati wa matumizi na pia kuvifupisha wakati umemaliza matumizi yake.
Ni rahisi sana ku-install, Zipo katika rangi nne
Wall net available📌
•Freesize
•Tsh.160,000/=
Rangi: Pink,Purple,Cream na White