Hayo yote ungeyaweka kwenye tangazo kila mtu ajioneeNjoo tuonane nikuonyeshe kwenye PC yangu au naweza kukutumia video jinsi inavyofanya kazi, ipi unachagua nikutumie video WhatsApp au tuonane uione?
Sample kama unataka nakutumia video au tunaweza onana Mbezi stendi nikakuonyesha, ipi we unataka?Siyo kama umetumwa na Sa100 utuscan kisha muanze kututafuta nje ya ulingo kweli mkuu wangu?
Ila naona kama ungeliituma samples hapa hapa ili mtu akivutiwa ajue namna mtakavyouziana.
Mimi nahitaji yenye mfumo wa kibank ,yaani watu wawe wanakutana majibu ya maswali yao .
Kuona kiwango cha mkopo na makato yake .
Kuona balance zao hata wakiwa chumbani kwao .
Kuomba na kupokea mkopo kwa njia ya online .
Mfumo uwe na uwezo wakuhakiki taarifa hata nikiwa usingizini.