Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Pendelea kuweka ,000 unapoandika bei
Naomba bei ya Engine 3S complete na gear box yakePendelea kuweka ,000 unapoandika bei
Shock up za mbele au za nyuma?Nahitaji shock cups za nissan bluebird sylphy
200,000/=Nahitaji taa za mbele za Toyota Alex inatumia taa nyembamba sio kijicho zote mbili bei gani?
70,000/=Nahitaji vvti sensor ya IST 2NZ
Asante sana mkuuDah kazi yangu ya zamani hii,mkuu nakutakia kila la heri.