Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Toyota ist 2003 ncp60
Taa ya mbele kushoto sio busta na nyuma kulia bei gani?
 

Attachments

  • 20230129_103112.jpg
    20230129_103112.jpg
    1.8 MB · Views: 30
  • 20230129_102953.jpg
    20230129_102953.jpg
    1.9 MB · Views: 30
Nahitaj pump ya. Petrol ile knayokaa juu ya engine gar mark x
 
Salaam ndugu zangu, kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ā€. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo.

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0658124554View attachment 1072803View attachment 1072804View attachment 1072805View attachment 1072807

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni spare kwa magari gani
 
Back
Top Bottom