Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Gearbox ya harrier 2WD unauzaje?
 
Una I spare za Volvo XC90 ya 2008 na 2004
 
Mkuu samahani, hio gari iko write-off nini?🤣🤣🤣
 
Cylinder kwa ajili ya kupump brake fluid ya toyota opa ni bei gani mkuu?
 
Nitumie picha sijaielewa hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kama pump iko nyuma chini ya kile kidumu (reservior) unachojaza mafuta ya breki ukifungua boneti ya gari lolote la toyota yenye hydraulic brake system utakaona kapo baada ya kikopo kinachobeba mafuta ya breki, kinaitwa cylinder kwa mujibu wa fundi.

Ndio kinafyonza mafuta ya breki toka kwenye kidumu na kusambaza kwenye pipe zinazoenda kwenye matairi.

Mie ndio nataka unipe bei ya hio pump au cylinder kwa ajili ya gari ya Opa.
 
Utaipata kwa laki moja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…