Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Mwenye kuhitaji spare za toyota Belta anitafute. Ninazo
 
Mkuu hivi gear box ya suzuki escudo 3 doors (automatic transmission) huwa bei gani?
 
Fuel pump ya Spacio new model bei gani
 
mkuu, samahani naomba unisaidie bei ya taa ya nyuma ya uoande wa kulia .

pia
 
mkuu compressa ya Ac ya IST bei gani ?


taa ya nyuma ya parking ya IST ni kiasi gani

pia switch ya vioo ( kuna kioo kimoja hakifungi )
 
mkuu compressa ya Ac ya IST bei gani ?


taa ya nyuma ya parking ya IST ni kiasi gani

pia switch ya vioo ( kuna kioo kimoja hakifungi )
Compressor ya kawaida 330,000/=
Ya umeme 280,000/=

Mashine ya vioo ile main ambayo inakaa kwa dereva ni 100,000/=
Hizi nyengine zinaenda 50,000/=

Taa ya nyuma zinakuja tofauti yako ni ipi,kuna ile nyekundu plain,kuna nyekundu inakua na mstari mweupe na kuna ile iko na maduara meupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…