Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Umetangaza sana magari, na sasa ni spea. Bug up sana. Lakini pia wapo wanaohitaji pili piki usiache kutangaza.
 
Side mirror used za Hilux pickup ambao hazitumii umeme.
 
Engine na Gearbox yake,
1ZZ bei gani,
Na Mfano nikitaka nitoe Engine yangu na Gearbox ya 1AZ unitafutie mteja waweza pia?

Hizi hutumika kwenye Rav4, OPA etc
1ZZ na Gearbox ni 3000,000/=
Engine 2500,000/= na Gearbox 500,000/=

Sisi tunauza used Japan labda wale wa Tandale na Mabwe pande wanaweza kununua
 
Bamba la ist la mbele linaendaje. Bi dada anayehitaji yuko dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…