Habari jf ,
1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni .
Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake walihusika katika shambulio lake bado anamtambua kama mtu aliyeipenda Tanzania Kuliko marais wote.
2. Unahitaji uwe mzalendo kweli kweli ili uwezo elewa Hayati Baba wa Taifa alikuwa kiongozi Bora .
Mzalendo siku zote humtambua mzalendo mwenzake .
Binafsi sijawahi kutana na mtu mwenye high IQ akabeza maamuzi ya JPM au Nyerere ,wanaobeza JK Nyerere ndio wale wasio elewa why Putin anapiga Ukraine .
Aliyoyafanya JPM kuhusu mikataba iliyokuwepo mibovu ni kitu ambacho Rais yeyote mzalendo atafanya ,ni bora ukapoteza 200B kuliko kupoteza trillions of money .