Unahitajika mchango wa pesa kumtoa Mtanzania mwenzetu wakuu

nan anahusikal na hizi ngada,apart from hawa wadada na wasanii,kuna kipindi mtoto wa kigogo fulan wa zaman wa BOT alikamatwa na ngada ya bilioni 9 mtwara,sijui iliishia wap,leo mara south,mara misri,china,anyway.....
 
nitajitolea kuzitapeli hizo hela kama mtamchangia
 
nitajitolea kuzitapeli hizo hela kama mtamchangia tatizo hua vina dharau hiv viumbwa
 
Nadhani bado haujajua madhara ya madawa.
Yaani hizo pesa mnazochanga kumtoa muuaji ni bora kuanzisha kituo cha elimu ya waathirika wa madawa kitaponya wengi kuliko huyo muuzaji atatoka aendelee kuua watoto wetu.
 
naunga mkono hoja ya Yo Yo, kweli tuacheni roho mbaya....
tumsaidieni ndugu yetu....

 


Angnes katika poziiii






Tuache tofauti zetu.....ila tufanye tuwezalo watanzania tumtoe huyu mtoto lupango sauzi...


Amakweli kwenye Wajenzi hakuna Miti. This heathy and Beauty, DOES SHE NEED TO SELL DRUGS?
 
sijui nijiunge na uaskari magereza ili kama ikitokea tuu kale kamtindo ka kubadilishana wafungwa kakatumika basi akirudishwa tz niwe najipigia mambo ya KIMBIGIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…