nan anahusikal na hizi ngada,apart from hawa wadada na wasanii,kuna kipindi mtoto wa kigogo fulan wa zaman wa BOT alikamatwa na ngada ya bilioni 9 mtwara,sijui iliishia wap,leo mara south,mara misri,china,anyway.....
Nadhani bado haujajua madhara ya madawa.
Yaani hizo pesa mnazochanga kumtoa muuaji ni bora kuanzisha kituo cha elimu ya waathirika wa madawa kitaponya wengi kuliko huyo muuzaji atatoka aendelee kuua watoto wetu.
sijui nijiunge na uaskari magereza ili kama ikitokea tuu kale kamtindo ka kubadilishana wafungwa kakatumika basi akirudishwa tz niwe najipigia mambo ya KIMBIGIRI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.