Unahitajika mkopo wa laki tano unarudishwa na riba

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,659
Habari.
Rejea kichwa cha habari, unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa.
Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki.
Unarejeshwa na riba ya 5%
You give me 500k..I give back 525,000.

Kama uko interested karibu.
 
Ukipata ukachinje yule kuku mweusi unywe supu kama ishara ya kafara
Habari.
Rejea kichwa cha habari,unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa.
Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki.
Unarejeshwa na ribs ya 5%
U give me 500k..I give back 525,000.

Kama uko interested karibu.
 
Nijuavyo mimi Hiyo mikopo ya chap chap riba yake huwa ni kubwa around 20%-30% kwa mtaani, simply kwa sababu hata security yake pia ni ndogo
 
Habari.
Rejea kichwa cha habari,unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa.
Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki.
Unarejeshwa na ribs ya 5%
U give me 500k..I give back 525,000.

Kama uko interested karibu.

Hakuna mtu katika hii dunia atarisky 500,000 kwa nyongeza ya 25,000/-
 
Id yenyewe fake ukiishia mitini? Kwanza upo wapi tuanzie hapo.
 
Pambana tu huko huko mtaani! Ni ngumu sana kupata msaada unaoutaka bumu jukwaani (kwa mtazamo wangu lakini)
 
Habari.
Rejea kichwa cha habari,unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa.
Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki.
Unarejeshwa na ribs ya 5%
U give me 500k..I give back 525,000.

Kama uko interested karibu.
SOON WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO MKUU!!!
 
Hahaha,kikawaida mikopo isiyozidi mwezi rina ni 10% kwa kila 100000 hivyo laki 5 itabd urejeshe 550000 na siyo riba ya 5%
nikupe laki 5

unirudishie faida ya 25,000

mimi nitakua Lijinga la standard Gauge
 
Uko wapi,kama ni wa kike nakupa mkopo bila riba ila ni kwa masharti nafuu,nitafute pls
 
Habari.
Rejea kichwa cha habari,unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa.
Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki.
Unarejeshwa na ribs ya 5%
U give me 500k..I give back 525,000.

Kama uko interested karibu.
Kwa hiyo riba labda uwatafute CCM wenzio watakusaidia
 
Iyo laki tano imefiwa na wazazi aina pa kuishi mpka ije kwako utakaa saaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…