Unai Emery aanza kuagwa Arsenal

Shida ya Arsenal sio kocha ni kikosi, quality players wapo wawili au watatu
Hivi utakifananisha kikosi cha arsenal na timu ipi nyengine pale EPL ukiacha Liver na City?? acheni ujinga Unai amefeli na watu wakubali tu kuwa amefeli. Hebu weka kikosi cha arsenal na Leicester kwa mchezaji mmoja mmoja halafu uone kipi kikosi Bora??
 
Wengine wanaongea mashudu tu unawaacha et tunakikosi kibovu Auba amechukua kiatu cha mfungaj bora msimu uliopita halafu anaongea utumbo Huyu Unai akwende tuuu
 
Shida ya Arsenal sio kocha ni kikosi, quality players wapo wawili au watatu
Kikosi kinawezaje kua na shida?

Msimu uliopita hatukua na wachezaji wa nafasi nyingi na wengine majeruhi ila Arsenal ilifika Final Europa bila kufungwa, na ikapambania top four.

Leo wachezaji wapo, nafasi moja ina watu kuanzia watatu timu inashindwa kudeliver, unalaumu vipi kikosi?
 
Hakujua analoongea
 
Tayari mkuu.

There was no going back, the guy lad lost the dressing room and that is normally the last stage when the sack is about to happen

Good ebening
Maisha ya kutanga tanga na makocha kama Liver, Chelsea na Man U yanaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…